Zitto kabwe akiwa na Prof Ibrahimu Lipumba wakati wa kuuaga Mwili wa mama yake kipenzi Bi Shida Salumu aliyefariki leo kabla ya kusafirishwa kwenda Kigoma kwa mazishi. |
Prof Ibrahimu Lipumba akijadili jambo na Mwezie baada ya kupakia mwili wa marehemu kwenye ndege kuelekea kigoma Kwenye maziko.
Rais wa TASWA Juma Pinto akiwa VIP ya Terminal 1 JKN Airport
alipokutana na Cardinal Pengo wakati wa kuaga mwili wa Mama yake Zitto Kabwe.
No comments:
Post a Comment