BAADHI YA MAOFISA KUTOKA MFUKO WA PESHENI KWA WATUMISHI WA Umma 'PSPF' WAKIWA TAYALI KUWASIKILIZA WATU MBALIMBALI KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA WAKATI WA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA |
Banda la PSPF.
Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa
umma 'PSPF' Bw,Hadji Jamadary kulia akimpatia maelezo Bw,Arbogast Nzeyimana wakati wa maadhimisho ya
wiki ya utumishi wa umma
Afisa uendeshaji wa mfuko wa pesheni
kwa watumishi wa umma 'PSPF' Bw,Hadji Jamadary kulia na ofisa wa mfuko
huo Bi, Leila Laizer wakimpatia maelezo Bw,Kambilo Crement wakati wa
maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma
Afisa wa mfuko wa pesheni kwa watumishi wa umma Bi, Leila Laizerkulia
akisalimiana na mtumishi wa manspaa ya Temeke idara ya maendeleo ya
jamii Bw.Emanuel Hinjo alipotembelea banda hilo katika mahazimisho ya
wiki ya utumishi wa umma katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es
salaam
maandamano.
wafanyakazi wa PSPF wakipita mbele ya mgeni rasmi.
banda la PSPF lilivyo katika viwanja vya mnazi mmoja.
No comments:
Post a Comment