KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, July 20, 2014

FB ME BANK HAITAFUNGWA KUENDELEA NA KAZI KAMA KAWAIDA..

Benki Kuu ya Tanzania inapenda kukanusha habari zinazosambazwa kwenye mitandao kuwa kesho Jumatatu Benki ya FBME itafungwa na shughuli zote za benki hiyo zitakuwa chini ya Benki Kuu.

Habari hizi si za kweli na kwamba benki hiyo haipo chini ya usimamizi wa Benki Kuu na itaendelea kutoa huduma kama kawaida.

IMETOLEWA NA IDARA YA UHUSIANO NA ITIFAKI, BENKI KUU YA TANZANIA.


No comments: