Mkurugenzi mtendaji wa Maendeleo Benki,Ibrahim Mwangalaba (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa UAP,Nick Itunga kwa pamoja wakifunua pazia kuashiria uzinduzi wa huduma hiyo.
Wakurugenzi wakifuatilia jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Mkurugenzi mtendaji wa Maendeleo Benki,Ibrahim Mwangalaba (kulia) na
Mkurugenzi Mtendaji wa UAP,Nick Itunga kwa pamoja wakifunua pazia
kuashiria uzinduzi wa huduma hiyo.
Mkurugenzi mtendaji wa Maendeleo Benki,Ibrahim Mwangalaba (kulia) na
Mkurugenzi Mtendaji wa UAP,Nick Itunga kwa pamoja wakipeana mikono baada ya Uzinduzi.
Mkurugenzi Mtendaji wa UAP,Nick Itunga akizungumza na waandishi wakati wa Uzinduzi.
Viongozi wa Maendeleo Banki wakifuatilia jambo wakati wa Uzinduzi.
Mkurugenzi mtendaji wa Maendeleo Benki,Ibrahim Mwangalaba akizungumza wakati wa Uzinduzi.
No comments:
Post a Comment