Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifungua maji katika
kisima kuashiria kuzindua rasmi mradi wa naji katika kata ya Nalasi wilayani
Tunduru leo.Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Chande Bakari Nalicho,Wapili
kulia anayepiga makofi ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu na kulia ni Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwisha ndoo ya
maji mkazi wa kata ya Nalasi Rehema Kassim Yakubu wakati alipokwenda kuzindua
mradi wa maji katika kata hiyo iliyopo katika wilaya Tunduru..(picha na
Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment