Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akimpokea Mama Graca Machel aliyemtembelea kwenye ofisi za
WAMA.
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete na mgeni wake Mama Graca Machel wanaonekana wakifurahia
jambo kabla ya kupiga picha ya pamoja na baadhi ya wajumbe wa Bodi ya WAMA.
Mke wa Rais
na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,WAMA, Mama Salma
Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mgeni wake Mama Graca Machel na wajumbe
wawili wa Bodi ya WAMA. Wajumbe hao ni Mheshimiwa Sophia Simba,Waziri wa
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto (kulia) na Mama Hulda Kibacha (wa kwanza
kushoto).
Mama Garaca Machel akiweka saini kitabu cha wageni
wakati alipotembelea ofisi za WAMA.
Mke wa Rais
na Mwenyekiti wa Bodi ya WAMA akimkabidhi zawadi ya picha mgeni wake Mama Graca
Machel aliyemtembelea ofisini kwake.
Mkurugenzi
wa Idara ya Afya ya WAMA, Dk. Sarah
Maongezi (kulia) akitoa taarifa ya utendaji kazi wa idara hiyo kwa Mgeni Mama
Graca Machel huku Mama Salma Kikwete na wafanyakazi wengine wakisikiliza.
Mke wa Rais
na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na Mgeni wake Mama
Graca Machel kwenye ofisi za Taasisi hiyo zilizoko karibu na Ikulu.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimkabidhi baadhi
ya majarida yanayochapishwa na Taasisi ya WAMA kwa Mgeni wake Mama Graca
Machel.
Mama Garaca
Machel akimongeza mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete kwa
kazi nzuri zinazofanywa na Taasisi yake.
Picha ya
pamoja kati ya Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na wafanyakazi wa Taasissi ya
WAMA na Mama Graca Machel na ujumbe wake mara baada ya kufanya mgeni uyo
kutembelea ofisi hiyo.
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akimwaga Mgeni wake Mama Graca Machel wakati akiondoka
kwenye ofisi ya WAMA baada ya viongozi hao kufanya mazungumzo.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na waandishi wa habari mara baada
ya kuagana na Mgeni wake Mama Graca Machel nje ya ofisi za WAMA.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongea na waandishi wa habari mara baada
ya kuagana na Mgeni wake Mama Graca Machel nje ya ofisi za WAMA.(PICHA NA JOHN LUKUWI).
No comments:
Post a Comment