Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa
Malawi Profesa Peter Mutharika aliyemtembelea
kumjulia hali kwenye hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha George Town
jijini Washington DC, Marekani, ambamo wote walikuwa wamefikia. Rais Kikwete na Rais Mutrharika, ambao
walikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa
Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa
Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo pamoja na mambo
mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.
Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika akisalimiana na
Mama Salma Kikwete alipomtembelea kumjulia hali Rais
Kikwetev kwenye hoteli ya Ritz Carlton
katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC, Marekani, ambamo wote
walikuwa wamefikia. Rais Kikwete na Rais
Mutrharika, ambao walikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa
kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa
Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa
Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo pamoja na mambo
mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Malawi Profesa
Peter Mutharika wakimsikiliza Waziri wa
mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe kwenye
hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC,
Marekani, ambamo marais hao walikuwa
wamefikia. Rais Kikwete na Rais
Mutrharika, ambao walikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika walioalikwa
kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa
Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa
Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo pamoja na mambo
mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.
Rais wa Malawi Profesa Peter
Mutharika akiomngea na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa Mhe Bernard Membe kwenye hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji
cha George Town jijini Washington DC, Marekani, alipomtembela kumjulia hali Rais Kikwete.
Viongozi hao walikuwa miongoni mwa
viongozi wa Afrika walioalikwa kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa
Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa
Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo pamoja na mambo
mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.
Mke wa rais Mama Salma Kikwete akisalimiana kwa furaha na
mke wa Rais wa Malawi Mama Getrude Mutharika walipokutana kwenye
hoteli ya Ritz Carlton katika kitongoji cha George Town jijini Washington DC,
Marekani. Rais Kikwete na Rais Mutharika, ambao walikuwa miongoni mwa viongozi wa Afrika
walioalikwa kuhudhuria Mkutano wa Kwanza wa
Wakuu wa Nchi za Bara la Afrika chini ya uenyekiti wa Rais Barack Obama wa
Marekani, walifanya maongezi mafupi yasiyo rasmi, ambapo pamoja na mambo
mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Rais wa Malawi Profesa Peter Mutharika na
wake zao, Mama Salma Kikwete na Mama Getrude Mutharika, wakiongea kwa furaha walipokutana kwenye

mengine walizungumzia kudumisha mahusiano mazuri na ya muda mrefu baina ya nchi hizo mbili.(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment