Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi ya
kinyago mchezaji veterani wa timu Real Madrid Luis Figo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi ya
kinyago mchezaji veterani wa timu Real Madrid Luis Figo wakati wa hafla ya
chakula cha jioni aliyowaandalia wachezaji wa timu hiyo na timu ya maveterani
ya Taifa Stars ikulu jijini Dar es Salaam jana usiku baada ya mechi ya kirafiki
ambapo Real Madrid illifungaTaifa Stars 3-1 katika Uwanja wa Taifa.(Picha na
Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment