Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Kiongozi wa WAMA
Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Mhariri wa Gazeti la Daily News Tuma Abdallah.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dulles tayari kwa Mkutano wa Viongozi wa
Wakuu wa Nchi na Serikali wa Amerika na Africa (US-Africa Leaders
summit) uliondaliwa na Rais Barak Obama unaoanza Agosti 4-hadi 6, 2014,
ambao utatanguliwa na mikutano mingine ya maendeleo ya sekta mbalimbali
na uwekezaji (2-3 Agosti, 2014) jijini Washington DC. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment