Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Temeke, Yahya Mhamali akizungumza wakati wa semina
iliyoandaliwa na Mkoa wa NSSF Temeke kwa Waajiri wake ambayo ilihudhuriwa na Maofisa Rasirimali
Watu pamoja na Wahasibu kwa ajili ya uelewa kuhusu moboresho ya formula mpya ya pensheni ambayo imetolewa na SSRA pamoja na huduma zilizoboreshwa kwa kiwango cha Kimatifa kwa NSSF Temeke (ISO). Semina hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam. Wa tatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori, wa kwanza ni Meneja Kiongozi Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice
Chiume.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius
Magori, akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na Mkoa wa NSSF Temeke
kwa Waajiri wake ambayo ilihudhuriwa na Maofisa Rasirimali Watu pamoja na
Wahasibu kwa ajili ya uelewa kuhusu maboresho ya formula mpya ya pensheni iliyotolewa
na SSRA pamoja na huduma zilizoboreshwa kwa kiwango cha Kimatifa kwa NSSF
Temeke (ISO). Kushoto ni Meneja wa Idara za Serikali na Balozi GDE, Rehema
Chuma na Meneja Mafao, James Oigo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Crescentius Magori, akifafanua jambo wakati wa semina iliyoandaliwa na Mkoa wa NSSF Temeke kwa Waajiri wake ambayo ilihudhuriwa na Maofisa Rasirimali Watu pamoja na Wahasibu kwa ajili ya uelewa kuhusu maboresho ya formula mpya ya pensheni iliyotolewa na SSRA pamoja na huduma zilizoboreshwa kwa kiwango cha Kimatifa kwa NSSF Temeke (ISO). Kushoto ni Meneja wa Idara za Serikali na Balozi GDE, Rehema Chuma na Meneja Mafao, James Oigo.
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakimsikiliza mgeni rasmi, Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crescentius Magori (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa semina hiyo.
Baadhi ya Maofisa wa NSSF waliohudhuria semina hiyo.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Crescentius Magori (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Idara ya Matekelezo NSSF Mkoa wa Temeke, Nour Aziz (kushoto), Meneja Kiongozi Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice
Chiume (wa pili kushoto), Meneja wa Idara za Serikali na Balozi (GDE), Rehema Chuma na Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Temeke, Yahya Mhamali.
Washiriki wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na Meneja Mafao wa NSSF, James Oigo.
Meneja Mafao wa NSSF, James Oigo akitoa mada katika semina hiyo.
Washiriki kutoka makampuni na taasisi mbalimbali Temeke wakiwa katika semina hiyo.
Washiriki kutoka makampuni na taasisi mbalimbali Mkoa wa NSSF Temeke kwa Waajiri wakeTemeke wakiwa katika semina hiyo.
Maofisa wa NSSF kutoka idara mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Idara za Serikali na Balozi (GDE), Rehema Chuma (wa tatu kutoka kushoto).
Meneja Kiongozi wa NSSF Mkoa wa Temeke, Yahya Mhamali akitoa ufafanuzi kwa washiriki wa semina hiyo.
Mmoja wa washiriki akiuliza swali.
Mwakilishi kutoka kampuni ya Said Salim
Bakhresa & Co Ltd akiuliza
swali.
Meneja wa Idara za Serikali na Balozi GDE, Rehema Chuma akitoa ufafanuzi kuhusu makato ya michango kutokana na taarifa iliyotolewa na Cha cha Waajiri Tanzania (ATE), kuhusu makato ya wanachama.
Mkuu wa Idara ya Matekelezo NSSF, Mkoa wa Temeke, Nour Aziz (kulia) akiwa na Ofisa Mhasibu Mwandamizi wa NSSF, Abdulkarem Kisuguru.
No comments:
Post a Comment