KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Wednesday, September 10, 2014

Rais Museveni awasili nchini kwa Ziara ya kikazi ya siku moja.

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akimtambulisha kwa Rais Museveni Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Jenerali Davies Mwamunyange muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere kwa ziara ya kikazi ya siku moja.Kushoto ni Inspekta Jenerali wa Polisi Ernest Mangu.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda wakikagua gwaride la Heshima lililoandaliwa na jeshi la Wananchi wa Tanzania.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakiangalia ngoma za utamaduni.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na kufanya naye mazungumzo.Rais Museveni yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu jijini Dar es Salaam Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na kufanya naye mazungumzo.Rais Museveni yupo nchini Tanzania kwa ziara ya kikazi ya siku moja(Picha na Freddy Maro).

No comments: