Waandishi wakiwasili kituo cha kupoza umeme Mbagala wakipokewa na Meneja Miradi Mhandisi Emmanuel Marirabona,(wa tatu kushoto) wakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco,Mhandisi Felchesmi Mramba,(kushoto) na Meneja Miradi-Ufuaji Umeme,Mhandisi Simon Jilima,(wa pili kushoto)
Transfoma ya kuchuja nguvu za umeme iliyopo Mbagala.
Wafanyakazi wakiendelea na kazi katika kituo cha Mbagala.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco,Felchesmi Mramba,(kulia) na Meneja Miradi Emmanuel Marirabona.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Assah Mwambene (kulia) akizungumza na waandishi zamira ya kutembelea vituo vya kuzalisha Umeme Jijini Dar es Salaam akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco,felchesmi Mramba.
Waandishi wakiwa katika kituo cha Umeme Gongolamboto.
Transfoma ya inayowekwa Gongolamboto.
Mashine ikisafisha mafuta ya transfoma yaliyopo katika mapipa.
Mafuta ya transfoma
Waandishi wakiwa kituo cha Kinyerezi.
Maofisa habari wa Tanesco.Neema Mbuja (wa pili kushoto) na Khadija Ahamed (kulia).
Waandishi wakioneshwa eneo la Kinyerezi.
Jengo la Utawala likiendelea kujengwa kituo cha Kinyerezi.
Waandishi wakipewa maelezo na Meneja Miradi -ufuaji umeme,mhandisi Simon Jilima (katikati)
tenki litakalowekwa maji ya kuzimia moto endapo utaleta taabu Kinyerezi.
Transfoma kubwa iliyopo kituo cha Kinyerezi.
No comments:
Post a Comment