Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akivishwa, majoho na Chifu wa sasa wa
Wahehe, Abdul Adam Sapi Mkwawa (kulia), kwenye kilima alichokuwa
akitumia Chifu Mkwawa, enzi hizo katika Kata ya Kalenga. Kinana alipewa
heshima hiyo kabla ya kuhutubia wananchi kwenye kilima hicho. akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM Iringa
Vijijini.
Katibu Mkuu wa CCM akiwa na viongozi wa Kichifu baada ya kuvishwa vazi la heshima na kupewa mkuki na viongozi hao.
Abdul Mkwawa akimshika mkono Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kwenda kuketi baada ya kupewa heshima hiyo.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi wa Kichifu kabla ya kuhutubia.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisindikizwa na Katibu wa NEC, Itikadi
na Uenezi, Nape Nnauye kwenda jukwaani kuhutubia wananchi.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi kwenye Kata ya Kalenga, wilaya ya Iringa Vijijini mkoani Iringa.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi ya Chadema kutoka Rehema
Said, wakati alipopokea wanachama wapya kutoka Chadema kwenye mkutano
wa hadhara uliofanyika Kata ya Kalenga. Wanachama wapya 21 wa Chadema
walijiunga na CCM
Kinana akionyesha kadi za Chadema alizokabidhiwa wakati wa mkutano huo.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia wananchi kwenye
mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Kilima cha Mkwawa, Kata
ya Kalenga Iringa Vijijini
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akihutubia wananchi kwenye mkutano huo.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kuvua samaki kwenye mradi wa
visima vya ufugaji samaki cha kina mama katika kata ya Kalenga, wilaya
ya Iringa Vijijini.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimwagilia dawa ya kuua wadudu
alipotembelea mradi wa kilimo cha nyanya wa kinamama wa kata ya Kalenga.
Kinana akiwasalimiana wananchi alipowasili kukagua kikundi cha kina mama wajasiriamali wafuga samaki kata ya Kalenga.
Kinana wakimkaribisha Kinana jimbo la Kalenga.
Kinana akiwa na mjumbe wa shina namba moja.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Christian Ishengoma akisoma taarifa mbele ya Kinana.
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu akimkaribisha Karibu Mkuu wa
CCM Kinanakuzungumza katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya
Iringa Vijijini jimbo la Kalenga.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimia kwenye kikao hicho.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza kwenye kikao hicho cha
wajumbe wa Halmashauri Kuu wilaya ya Iringa Vijijini Jimbo la Kalenga
Wajumbe wakimsikiliza Kinana. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment