KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, October 13, 2014

MAKAZI NA MAISHA YA KIJIJI CHA UJAMAA GOLE WILAYA YA HANDENI MKOA WA TANGA.

 Njia kuu ya kiingia katika Kijiji cha Gole Wilaya ya Handeni mkoa wa Tanga.
 Moja ya Mitaa ya ndani ya Kijiji cha Gole.
 Nyumba za makazi ya wanakijiji cha Gole.
 Ofisi ya Mtendaji wa Kijiji cha Gole.
 Makazi ya wanakijiji cha Gole.
 Sehemu nyingine ya Mitaa ya Gole.
 Mitaa ya Kijiji na nyumba za wakazi.
 Moja ya nyumba imefungwa mlango na kufuli mwenyewe yupo viwanja.
 Makazi ya wanakijiji.
 Makazi ya wenyeji wa Kijiji.
Nyumba hii ipo katikati ya msitu Kijiji cha Magambazi eneo la Nyasa kuelekea kijiji cha Gole,pamoja na shida zote amejitahidi na kufunga dish la zuku,lakini mama huyu amedai alioneshi vizuri wataalamu wa zuku nendeni mshugulikie tatizo.

No comments: