Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akipokea shangwe na wajumbe
alipowasili katika ukubi wa Makao Makuu ya CCM Whie House kendesha kikao
cha Hamlmashauri Kuu O(NEC ) ua CCM mjini Dodona leo jini. Kushoto ni
Katibu Mkuu wa CCM, bdulrahman Kinnana na Makamu Mwnyekiti wa CCm (Bara)
Phili Mangula.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiwa ukumbini tayari kuongoza kikao hicho leo
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kabla ya kikao hicho kuanza leo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisoma Utangangulizi na kolam
ya wajumbena kumkaribisha Kikwete kuongoza, kabla ya kikao hicho kuanza.
Kulia ni Mangula
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao hicho
Wajumbe wa kikao hicho, Ridhiwani Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijadili jambo kikaoni
POLE MWANANGU: Katibu Mkuu wa UWT, Amina Makilagi akimpa pole Katibu wa
NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ambaye anauguza mkono alioumia
kwenye mpira akiwa katika ziara mkoani Iringa hivi karibuni.
Kaibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro
akimsalimia Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai ukumbini.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Pwani, Joyce Masunga akimsalimia mjumbe mwenzake, Mama salma Kikwete ukumbini
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM, Taifa, Mboni Mhita na Katibu Mkuu wa Jumuia
hiyo, Sixtus Mapunda wakipitia makabrasha kabla ya kikao hicho kuanza.
Waziri wa Sheria na Katiba Dk. Asha-Rose Migiro akijadiliana jambo na Naibu wake wakati wa kikao hicho,
Wajumbe wakiwa ukumbini.
Katibu Mkuu wa CCM mstaafu, Wilson Mukama, akijadiliana jambo na Katibu wa NEC Oganaizesheni Asha Abdallah Juma kabla ya kikao.
Wajumbea wakiwa ukumbini kwenye kikao hicho. Picha zote na Bashir Nkoromo-CCM Blog
No comments:
Post a Comment