KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, November 2, 2014

Hata ukisimamisha Saa Jua litazama na Maisha Yanakwenda.

 Moja ya mtaa katika Kijiji cha Gole.
 Moja ya nyumba ya makazi katika Kijiji cha Gole.
 Hii nyumba ya moja ya familia.
 Mtaa wenye nyumba za kuishi.
 Mtaa wenye masikani tulivu.
 Mtaa mkuu Kijijini humo.
 Tumefunga mlango tuko katika kuwajibiba.
 Paa la nyumba limeshuka.
 Miti inateketea kwa ajili ya kupasua mbao Kijijini Gole.
 Eneo tulivu la makazi lililozungukwa na msitu.
 Mawasiliano ya Zuku mpaka huku Kijijini Gole katikati ya Msitu.

No comments: