KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, November 21, 2014

UMOJA WA MISIKITI YA ILALA MKOA WA DAR ES SALAAM WAOMBA DUA KWA MWENYEZIMUNGU AMPONESHE HARAKA RAIS JAKAYA KIKWETE ANAKOENDELEA NA MATIBABU NCHINI MAREKANI.

 Dua ikisomwa.
 Viongozi na sehemu ya waumini walikuwa msitari wa mbele katika Dua.
 Dua ikiombwa kwa MWENYEZIMUNGU ili amponeshe haraka Rais wetu mpendwa.
 Sehemu ya waumini walioshiriki katika Dua ya Rais wetu.
 Sehemu ya Vijana wa maeneo ya karibu walishiriki.
 Waumini kutoka katika misikiti mbalimbali jijini nao walishiriki.
 Vijana nao walishiriki katika Dua.
 Watoto nao walishiriki katika Dua.
 Kiongozi akitoa neno.
 Sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam,Al Had Mussa Salimu,akitoa neno.
 Mwenyekiti wa Misikiti ya Ilala na Imamu wa Msikiti wa Taqwa,Sheikh Abdul Wakati,akitoa neno.
 Kiongozi akitoa shukurani kwa walioshiriki Dua.
Viongozi walioratibu Dua ya Rais.

No comments: