KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, November 20, 2014

MAAFISA JESHI LA POLISI WAKIZUNGUMZA NA WANANCHI KITETO.

 Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP, Nsato Marijani kutoka Polisi Makao Makuu (aliyevaa nguo nyeusi) akizungumza na wafugaji wa jamii ya kimaasai wa kata za Partimo, Olboloti na Namelock wilaya ya Kiteto mkoa wa Manyara, alipokwenda kuzungumza nao katika hatua za awali za kutatua migogoro yao iliyosababisha mauaji kati ya wafugaji hao na wakulima yaliyotokea hivi karibuni wilayani humo. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi

Diwani wa kata ya Namelock wilaya ya Kiteto mkoa wa Manyara, Yohana Bakari akizungumza na wafugaji wa jamii ya kimaasai wa kata za Partimo, Olboloti na Namelock walipotembelewa na viongozi wa Jeshi la Polisi Makao makuu na Mkoa wa Manyara katika hatua za awali za kutatua migogoro yao iliyosababisha mauaji kati ya wafugaji hao na wakulima yaliyotokea hivi karibuni wilayani humo.(Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi).

No comments: