KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, December 7, 2014

CHUO KIKUU BAGAMOYO (UB) CHAFANYA MAHAFALI YA PILI NA KUTOA WAHITIMU WA TAALUMA MBALIMBALI MUHIMU NCHINI.


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe (kushoto) akipeana mkono na Naibu Makamu wa Chuo Elimu na Utafiti Dk, William Kudoja. (kulia) wakati alipowasili katika Mahafali ya pili ya Chuo Kikuu cha Bagamoyo (UB), Waziri alikuwa mgeni rasmi  yaliyofanyika Bagamoyo mkoa wa Pwani juzi. Wengine ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu, Prof. Costa Mahalu (kushoto) na  Naibu Mkamu Mkuu wa Chuo   anayeshughulikia Masuala ya Fedha, Dk. Elifuraha Mtalo.  
 Sehemu ya wahitimu.
 Kundi la Wahimu.
 Sehemu ya Kundi la wahitimu.
 Wahitimu wakifuatilia wakati wa Mahafali.
 Wahitimu wakifuatilia wakati wa Mahafali.
 Wahitimu wakifuatilia wakati wa Mahafali.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe.
 Wakitoa heshima kwa muaznilishi wa Chuo aliyepoteza maisha.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernad Membe.
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe akimpa mkono baada ya hotuba Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu, Prof. Costa Mahalu. Mwengine Naibu Mkamu Mkuu wa Chuo   anayeshughulikia Masuala ya Fedha, Dk. Elifuraha Mtalo.  
 Ofisa uhusiano wa Chuo Kikuu Bagamoyo (UB), Happiness Katabazi akimpa zawadi ya Waziri, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu, Prof. Costa Mahalu, kwa ajili ya kumkabidhi.
 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu, Prof. Costa Mahalu,(kulia) akimkabidhi zawadi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe.
 Viongozi wakikata keki.
 Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Mahafali ya Pili ya (UB)

No comments: