Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akipokewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Lindi Ndugu Regina Chonjo
mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Lindi.
Mke wa
Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi wa Wilaya ya Lindi
Mjini Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi wa CCM Kata ya Mikumbi
iliyoko Mjini Lindi wakati alipowasili kwenye eneo hilo kwa ajili ya kufanya
mkutano wa ndani na viongozi hao. Anayemtambulisha kwa wajumbe
hao ni Mwenyekiti wa CCM wa Kata ya Mikumbi Bwana Bakari Seif Mikojo.
Mke wa
Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi wa Wilaya ya Lindi
Mjini Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi wa CCM Kata ya Mikumbi
iliyoko Mjini Lindi wakati alipowasili kwenye eneo hilo kwa ajili ya kufanya
mkutano wa ndani na viongozi hao.Anayemtambulisha kwa wajumbe
hao ni Mwenyekiti wa CCM wa Kata ya Mikumbi Bwana Bakari Seif Mikojo.
Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini na Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza na viongozi wa chama wa Kata ya Mikumbi
katika mkutano wa ndani wa Chama hicho kuhusiana na uchaguzi wa serikali za
mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini tarehe 14.12.2014.

Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi wa Wilaya ya Lindi Mjini na Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na uongozi wa Chama wa Kata ya Ndoro
iliyoko Lindi Mjini mara baada ya kuwasili katani hapo kwa lengo za kuzungumza
na viongozi wa kata hiyo kuhusiana na uchaguzi wa serikali za mitaa
unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014. Anayetambulisha ni Mwenyekiti wa CCM
wa Kata hiyo Ndugu Saleh Ahmed Saleh.
Mjumbe
wa NEC Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi
wa CCM wa Kata ya Ndaro kuunga mkono muundo wa serikali mbili unaopendekezwa na
Rasimu ya Katiba.
Mjumbe
wa NEC Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi
wa CCM wa Kata ya Ndaro kuunga mkono muundo wa serikali mbili unaopendekezwa na
Rasimu ya Katiba.
Mjumbe wa
NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizungumza
na uongozi wa Kata ya Ndaro katika mkutano wa ndani kuhusiana na uchaguzi wa
serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini.
Mjumbe wa
NEC Taifa ya CCM anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini na Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete akiwatambulisha na kuwaombea kura wagombea uenyekiti wa serikali za
mitaa wa Kata ya Ndaro kwa wajumbe wa mkutano. Mama Salma yuko Wilayani Lindi
Mjini kuhamasisha wananchi kukipigia kura Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi
wa serikali za mitaa.
Mjumbe wa
NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi wa Wilaya ya Lindi Mjini na Mke wa Rais Mama
Salma Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kata ya Mbanja kwenye mkutano wa kampeni
uliofanyika katika tawi la Mto Mkavu katika wilaya ya Lindi Mjini.(PICHA NA JOHN
LUKUWI)
No comments:
Post a Comment