Meneja Masoko wa Kampuni ya
Aqua Decor,Maria Caroll Mwaluko,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga kuhusu mafunzo maalumu ya kupaka rangi za nyumba kisasa, mafunzo hayo yalikuwa yakitolewa na mtaalam kutoka Uturuki, Abdurrezzak Yucesoy.
Aina mbalimbali za rangi.
Meneja Masoko wa Kampuni ya
Aqua Decor,Maria Caroll Mwaluko, (wa pili kushoto) akikabidhi cheti kwa Dickson Kamanjenzi mara baada
ya kufunga mafunzo ya kupaka rangi za nyumba kisasa yaliyofanyika jijini Dar
ces Salaam, ambapo wahitimu 50 walikabidhiwa vyeti vyao. Kushoto ni
mtaalamu wa mafunzo hayo kutoka Uturuki, Abdurrezzak Yucesoy.
Mtaalam wa mafunzo ya kupaka rangi za nyumba, Abdurrezzak Yucesoy kutoka Uturuki akitoa mafunzo ya jinsi ya kupaka rangi kisasa pamoja uwekaji wa urembo wa aina mbalimbali wakati wa kupaka rangi.
Rangi za aina mbalimbali pamoja na vifaa vya kupaka rangi vinavyopatikana katika duka la Kampuni ya Aqua Decor lililopo mtaa wa Samora jijini Dar es Salaam.
Nyumba iliyojengwa kwa mbao.
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment