KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, January 15, 2015

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA ALGERIA ALIYEMALIZA MUDA WAKE

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza kisha kuagana na Balozi wa
Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kuagana na Balozi wa
Algeria nchini Tanzania, Mhe. Djelloul Tabel,  Ikulu jijini Dar es
Salaam, kwa ajili ya kumuaga baada ya
kumaliza muda wake wa kazi nchini.(PICHA NA IKULU)

No comments: