KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Thursday, January 15, 2015

RAIS KIKWETE NA MAMA SALMA KIKWETE WAMJULIA HALI MBUNGE WA NAMTUMBO MHE VITA KAWAWA ALIYELAZWA HOSPITALI YA AMI JIJINI DAR ES SALAAM.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali
Mbunge wa Namtumbo Mhe. Vita Kawawa aliyelazwa katika hospitali
ya AMI jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu ya tumbo. Katikati yao
ni Mhe Adam Malima, naibu Waziri wa Fedha na kushoto ni Daktari
katika wodi hiyo.( PICHA NA IKULU)

No comments: