Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu
Rasmi kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar
es Salaam Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria akiwasilisha mada kuhusu Ufundishwaji
wa Takwimu Rasmi katika chuo hicho wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu
Afrika unaomalizika katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala
Uganda.
Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu Rasmi kutoka Chuo cha Takwimu Mashariki
mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam Bi. Oloumi Olatunde kutoka
Nigeria akiendelea kuwasilisha mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika
chuo hicho wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika
unaomalizika katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.
Washiriki kutoka Tanzania wakisikiliza kwa
makini mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi katika Chuo cha Takwimu Mashariki
mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam iliyowasilishwa na Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu
Rasmi anayesoma katika chuo hicho Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria, wakati wa
Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika katika Ukumbi
wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.
Mshauri
wa Sensa ya Watu na Makazi kutoka UNFPA Tanzania Dk. Collins Opiyo
(aliyeinama) akiteta jambo na Meneja wa Sensa ya Watu na Makazi Irenius Ruyobya
(katikati) na Meneja Rasilimali watu Gabriel Madembwe wote kutoka Ofisi ya
Taifa ya Takwimu wakati wa Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika
unaomalizika katika Ukumbi wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda.
Wahadhiri Dk. Tumaini Katunzi (Kushoto)
na Dkt. Frank Mkumbo kutoka Chuo cha Takwimu
Mashariki mwa Afrika kilichopo Changanyikeni Dar es Salaam wakisikiliza kwa
makini mada kuhusu Ufundishwaji wa Takwimu Rasmi iliyowasilishwa na Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamili katika Takwimu
Rasmi anayesoma katika chuo hicho Bi. Oloumi Olatunde kutoka Nigeria, wakati wa
Mkutano wa Kumi wa Maendeleo ya Takwimu Afrika unaomalizika katika Ukumbi
wa Mikutano wa Speke Resort Kampala Uganda. (PICHA NA VERONICA KAZIMOTO – KAMPALA)
No comments:
Post a Comment