Rais Mpya wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akila kiapo
cha urais kuiongoza nchi ya Msumbiji jijini Maputo Msumbiji.
Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Rais Mpya wa
Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi muda mfupi baada ya kuapishwa jijini Maputo
Msumbiji.
Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Mpya wa
Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi pamoja na Rais wa Msumbiji aliyemaliza muda wake
Armando Emilio Guebuza katika viwanja vya ikulu ya Maputo leo baada ya sherehe za kuapisha.(Picha
na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment