Akari aliyekuwa na cheo cha Kepteni,David Nickol MBE
akiweka maua katika mnara wa askari jana Dar es Salaam, ikiwa kumbukumbu ya
heshima na sifa kwa mashujaa waliopigana Vita Kuu mwaka 1939 -1945 na kumuondoa
Idd Amin 1978-1979 ikiwa ni kumuomba Mungu aweke roho zao mahali pema.Wengine
wanaoshuhudia kutoka kulia Naibu Balozi wa Uingereza nchini Penny Smith,Mshauli
wa Kijeshi nchini kutoka Uingereza,Brigedia Duncan Francis,Meya wa Ilala Jery
Slaa,Brigedia Jenerali Michael Asamuhyo na Afisa wa Biashara na Uwekezaji
Ubalozi wa Uingereza,Fatuma Kweka.
No comments:
Post a Comment