Hayawi hayawi yamekuwa , Dk. Neema Nalitolela (kushoto)akiwa
katika picha ya pamoja na mpambe wake Winne Temu (kulia) wakifurahia jambo
wakati wa sherehe ya kumuaga (Send off) iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha
Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam.
DK. Neema Nalitolela akikata keki wakati wa sherehe ya kumuaga
(send off ) huku akishuhudiwa na wazazi wake
Mr &mrs Nalitolela( kushoto) na upande wa wazizi wa mmewake mtarajiwa
Mr&mrs Kabyemero( kulia) sherehe hiyo ilifanyika hivi karibuni katika
ukumbi wa Marantha Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam, Neema ni Daktari wa magonjwa ya watoto katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Dk. Neema Nalitolela akipongezana na mpambe wake Winne
Temu wakati wa sherehe ya send off yake iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha Msimbazi
Centre jijini Dar es Salaam. Neema ni
Daktari wa magonjwa ya watoto katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Nakupemda sana naomba ukanitunze vyema ,Dk Neema Nalitolela akimkabidhi zawadi mmewake mtarajiwa
Thomas Kabyemero zawadi wakatiwa sherehe
ya kumuaga iliyofanyika hivi hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha Msimbazi
Centre jijini Dar es Salaam.
TUDUMISHE MILA ZETU KWANZA HAPO TUTAUONA UZEE. DK.
Neema Nalitolela akiwana furaha
wakati alipomkarisha mme wake
mtarajiwa Thomas Kabyemero kumuonyesha mira na desturi za kwao za Wayao
wakati wa sherehe ya kumuaga send off iliyofanyika hivi karibuni.
TUDUMISHE MILA ZETU KWANZA HAPO TUTAUONA UZEE. DK.
Neema Nalitolela akiwana furaha pamoja
na mme wake mtarajiwa Thomas Kabyemero
wakati aalipokuw akichezewa ngoma ya Kimira ya Wayao wakati wa sherehe ya kumuaga send off.
Baba mzazi wa bibi harusi mtarajiwa DK. Neema Nalitolela
akiwa na familia yake akitoa nasaha kwa njia ya kuimba shairi wakati wa sherehe
ya kumuaga mwanae (send off ) iliyofanyika
hivi karibuni katika ukumbi wa Marantha Msimbazi Centre jijini Dar es
Salaam. Neema ni Daktari wa magonjwa ya
watoto katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Familia na wanakamati wakicheza muziki wakati wa wa
sherehe ya send off yake iliyofanyika
hivi karibuni.
Biharusi mtarajiwa Dk.Neema Nalitolela akiwa na mpambe
wake Winne Temu wakimiminiwa shampeni na mmoja wa maraki zao wakat wa sherehe
ya kumpongeza Send off iliyofanyika hivi karibuni.
TUNAMSHUKURU MUNGU TUMEFANIKISHA TUNAMTAKIA NDOA
NJEMA.Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya sherehe ya kumuaga Dk,Neema
Nalitolela akiwa katika picha ya pamoja.
HII SIKU NILIINGONJEA SANA ACHA NICHEZE LEO Bibi harusi
mtarajiwa Dk. Neema Nalitolela akiwa na mpambe wake Winne Temu wakiingia ndfani
ya ukumbi kwa stari ya kucheza muziki .
No comments:
Post a Comment