KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, January 30, 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS UFARANSA FRANCOIS HOLLANDE JIJINI PARIS.

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Francois Hollande  katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mwenyeji wake Rais Francois Hollande  katika Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na  mwenyeji wake kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande Ikulu ya Ufaransa maarufu kama Champs L’Elysee jijini Paris kuonana na mwenyeji wake Rais Francois Hollande. (PICHA NA IKULU)

No comments: