Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),Mhandisi Felchesmi Mramba akipitia hutuba kabla ya kufungua mkutano akiwa mgeni rasmi.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),Mhandisi Felchesmi Mramba akiwasalimia wajumbe wa mkutano wakati akiingia.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),Mhandisi
Felchesmi Mramba akiwasalimia wajumbe wa mkutano wakati akiingia.
Wajumbe wakiwa katika mkutano.
Wajumbe wakifuatilia wakati wa mkutano.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),Mhandisi Felchesmi Mramba,akifungua mkutano.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),Mhandisi Felchesmi Mramba akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano kutoka nchi nzima.
Viongozi katika picha ya pamoja.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco),Mhandisi Felchesmi Mramba akizungumza na waandishi.
Baadhi ya viongozi na wajumbe katika picha ya pamoja.
Sehemu ya viongozi na wajumbe katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment