KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Wednesday, January 7, 2015

Viongozi wa Serikali za Mitaa ya Manispaa ya Ilala waapishwa.

  Wafuasi wa Vyama vya Siasa wakiwa katika mlango wa Ukumbi wa mikutano wa Arnautoglo Manispaa ya Ilala wakifuatilia kuapishwa viongozi wa serikali za mitaa ya Ukonga.
 Mmoja wa Viongozi (kulia) wa Mtaa wa Ukonga akitolewa nje ya ukumbi baada ya kuwekewa zengwe kwa madai kama hasitaili kuapishwa kwa sababu nafasi hiyo haijagombewa na mtu baada ya vurugu zilizopelekea kuvunjika uchaguzi.
 Wenyeviti wa serikali za Mitaa na wajumbe wakiwa katika Ukumbi wa Arnautoglo Jijini Dar es salaam.
 Wenyeviti na wajumbe wakijaza fomu za kiapo.
 Wenyeviti na wajumbe wakipitia Fomu za kiapo.
 Wakijaza Fomu za Kiapo na kuzipitia kabla ya kiapo.
  Mwenyekiti akiapa.
 Sehemu ya Wenyeviti wakiapa.
 Baadhi ya Wenyeviti wakiapa.
 Sehemu ya Wenyeviti Serikali za Mitaa wakiapa kutumikia nafasi zao.

No comments: