Rais Dk, Jakaya Mrisho Kikwete, amewaapisha wajumbe sita
wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora katika hafla iliyofanyika ikulu
jijini Dar es Salaam .Walioapishwa leo ni pamoja na mwenyekiti wa Tume hiyo
Bwana Bahame Tom Mukiria Nyanduga,Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Bwana Iddi
Ramadhani Mapuri, na makamishna wa Tume hiyo Bwana Mohamed Khamis Hamad, Dk.
Kevin Mandopi, Bibi Rehema Msabila Ntimizi, na Bibi Salma Ali Hassan.
Pichani Rais Kikwete akiwa pamoja na wajumbe wa Tume ya Haki
za Binadamu na Utawala Bora aliowaapisha leo Watatu Kutoka kushoto ni
Mwenyekiti wa Tume hiyo Bwana Bahame Tom Mukiria Nyanduga, Watano Kushoto ni
Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Bwana Iddi Ramadhani Mapuri, na makamishna wa
tume hiyo wakwanza kushoto ni Bibi Salma Ali Hassan, Wapili kushoto ni Bwana
Mohamed Khamis Hamad, Wasita kushoto ni Dkt.Kevin Mandopi, na kulia ni Bibi
Rehema Msabila Ntimizi.(Picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment