Mdhamini wa Karimjee Jivanjee Foundation,Hatm Karimjee (kushoto) akizungumza na waandishi.
Muwakilishi wa Balozi wa Ireland nchini,corol Hannan (kushoto) akizungumza na waandishi.
Mdhamini wa Karimjee Jivanjee Foundation,Hatm Karimjee (kushoto), Muwakilishi wa Balozi wa Ireland nchini,corol Hannan(kulia) wakiwa na Mwanafunzi Dharia Amour Ali, akionesha cheti chake.(Scholaships)
Mdhamini wa Karimjee Jivanjee Foundation,Hatm Karimjee (kushoto), Muwakilishi wa Balozi wa Ireland nchini,corol Hannan(kulia) wakiwa na Mwanafunzi,Salma Khalfan Omar, akionesha cheti chake.(Scholaships)
Mdhamini wa Karimjee Jivanjee Foundation,Hatm Karimjee (wa pili kulia) na Muwakilshi wa balozi wa Iceland nchini,Carol Hannon (kulia) wakiwakabidhi Scholaships ya washindi wa Mashindano ya Wanasayansi Chipukizi wa mwaka 2014 , wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Lumumba Unguja Zanzibar,Dharia Amour Ali (kushoto) na Salma Khalfan Omar ambao wanakwenda Mjini Dublin -Ireland jana kwa masomo ya elimu ya Juu.
Wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi.
Waandishi,wanafunzi na wageni waliohudhuria Sherehe ya kukabidhiwa Scholarships.
No comments:
Post a Comment