Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika
kaburi la marehemu Bi.Tajiri Abdallah Kitenge wakati wa mazishi yaliyofanyika
katika makaburi ya Chumbageni mjini Tanga.Marehemu Bi.Tajiri ni mama wa
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama Bwana Rashid Othman.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Mkurugenzi Mkuu
wa Idara ya Usalama wa Taifa Bwana Rashid Othman wakati wa mazishi ya Mama yake
Bi.Tajiri Abdallah Kitenge yaliyofanyika katika makaburi ya Chumbageni mjini
Tanga.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment