Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, Mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakijumuika na
waomboilezaji wengine katika mazishi ya Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka udongo
kwenye kaburi la Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada
kwenye kaburi la Marehemu Bibi Bridget Ramadhani, mama Mzazi wa Jaji Augustino Ramadhani, wakati wa mazishi huko Kimara King'ongo jijini Dar es salaam.(Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment