Rais Dk, Jakaya Kikwete na mwenyeji wake Rais wa Zambia Edgar Lungu pamoja na wake zao
Mama Salma Kikwete na Mama Esther Lungu wakinyanyua glasi juu wakati wa dhifa
ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete na ujumbe wake ambao
walifanya ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Zambia.
Rais Dk, Jakaya Kikwete na mwenyeji wake Rais Edgar
Lungu wa Zambia wakigonga glasi wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoiandaa kwa
heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia.
Rais Dk, Jakaya Kikwete akigonga glasi na Rais wa
Kwanza wa taifa la Zambia Dk, Kenneth Kaunda wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa
kwa heshima ya Rais Kikwete jijini Lusaka Zambia. Rais Kikwete ambaye
alikuwa katika ziara ya siku mbili nchini Zambia tayari amerejea jijini Dar es
Salaam.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment