Mhandisi, Karim Mattaka,Msimamizi Mkuu wa Ujenzi wa daraja la Kigamboni linalojengwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), akionesha lami iliyowekwa katika barabara itakayopita magari matatu kila upande eneo la Vijibweni.
Sehemu ya barabara yenye njia tatu kira upande Vijibweni ambako imeishia, mbele kuna matenki ya mafuta inangojewa Serikali kufanya linalowezekana ili ujenzi uendelee kwa sasa barabara imeishia hapo kama inavyoonekana.
Mhandisi, Karim Mattaka, akionesha sehemu ya barabara inayotarajiwa kuwekwa lami upande wa Vijibweni.
Sehemu ya Toll Station iliyopo upande wa Vijibweni.
Mafundi wakiendelea na ujenzi eneo la Toll Plaza upande wa Vijibweni.
Mafundi Ujenzi wakipata chakula cha mchana eneo la kazi upande wa Vijibweni.
Msimamizi Mkuu wa Ujenzi wa daraja la Kigamboni Mhandisi Karim Mattaka (katikati fulana mistari) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi mafundi ujenzi.
Ofisi za Idara mbalimbali zikiwepo za Ulinzi na Usalama katika Daraja upande wa Vijibweni.
Wachina wakiwa kazini.
Mafundi wakimwaga zege sehemu ya barabara karibu na Toll Station.
Sehemu ya barabara upande wa Vijibweni ikiandaliwa kumwaga zege.
Moja ya sehemu ya nguzo kwenye maji juu ya daraja ikiandaliwa kwa ajili ya kumwaga zege.
Sehemu ya juu ya daraja katika moja ya nguzo ikiendelea na ujenzi.
Sehemu ya nguzo juu ya daraja ikiandaliwa kwa ajili ya kumwaga zege.
Sehemu ya juu ya daraja katika moja ya nguzo ikiendelea na ujenzi.
Mafundi wakizikunja nondo ambazo zinatumika katika kazi.
Sehemu ya juu ya daraja iliyokwisha mwagwa zege upande wa Kurasini.
Sehemu ya juu ya daraja itakayotumika kupita magari kila upande gari tatu 3 inaendelea na ujenzi.
Mhandisi Karim Mattaka,akionesha sehemu ya daraja.
Sehemu ya moja ya nguzo kubwa zitakazopita kamba tisa 9 zitakazosaidia uhimara wa daraja ikiwa inakaribia kumalizika.
Mafundi wakipita juu ya daraja.
Fundi Msimamizi wa Kichina akisimamia kazi juu ya Daraja.
Mafundi wakiendelea kusuka na kuweka Nondo juu ya Daraja.
Mhandisi Karim Mattaka,akiwa juu ya Daraja upande wa Kurasini.
Mhandisi, Karim Mattaka,akionesha sehemu ya daraja iliyokamilika upande wa Kurasini.
No comments:
Post a Comment