Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akipokewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu
Raymond Mushi wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja katika kilele cha
maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar esb Salaam.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akipunga mkono ikiwa ni ishara ya kuyapokea maandamano ya akina mama wa Mkoa wa Dar es
Salaam kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku
ya wanawake duniani.

Wafanyakazi akina mama kutoka Jeshi la Polisi wakipita mbele ya Mgeni
Rasmi Mama Salma Kikwete wakifuatiwa na Jeshi la zimamoto.
Wafanyakazi kutoka Shirika la
Utangazaji Tanzania, TBC, wakifuatiwa na wafanyakazi wa Shirika la Magazeti ya
Serikali ya Daily News na Habari leo pamoja na Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo nao wakipita mbele ya jukwaa la mgeni rasmi.
Wafanyakazi kutoka Shirika la
Utangazaji Tanzania, TBC, wakifuatiwa na wafanyakazi wa Shirika la Magazeti ya
Serikali ya Daily News na Habari leo pamoja na Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo nao wakipita mbele ya jukwaa la mgeni rasmi
Wafanyakazi kutoka Shirika la
Utangazaji Tanzania, TBC, wakifuatiwa na wafanyakazi wa Shirika la Magazeti ya
Serikali ya Daily News na Habari leo pamoja na Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo nao wakipita mbele ya jukwaa la mgeni rasmi.
Mamia
ya wafanyakazi wanawake na baadhi ya wanaume waliofurika kwenye viwanja vya
Mnazi Mmoja wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea kwenye siku ya
maadhimisho ya wanawake duniani. 
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya mkoa wa Dar es Salaam kutoka kwa Kaimu
Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ndugu Raymond Mushi na Afisa Tawala wa
Mkoa Mama Theresia Mbando (katikati) wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku
ya wanawake duniani.
No comments:
Post a Comment