.Rais Dk.Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Mwaka
wa Wahasibu Wakuu wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa Afrika (ESSAG) uliofanyika
katika ukumbi wa Julius Nyerere International Conference Centre JNICC jijini
Dar es Salaam.
Rais Dk.Jakaya Kikwete akitoa hotuba ya ufunguzi
wa Mkutano wa Mwaka wa Wahasibu Wakuu wa Nchi za Mashariki na Kusini mwa
Afrika (ESSAG) uliofanyika katika ukumbi wa Julius Nyerere International
Conference Centre JNICC jijini Dar es Salaam leo. Walioketi meza kuu kutoka
kulia ni Waziri wa Fedha Mh.Saada Mkuya, Katibu Mkuu wizara ya Fedha Servacius
Likwelile, manaibu katibu wakuu hazina Dk.Hamisi Mwinyimvua na Bi.Dorothy
Mwanyika.(Picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment