Wajasiriamali wakiandamana katika barabara ya Ununio Kunduchi Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa fedha na Utawala wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Anne Mbuhguni (kushoto) na Ofisa Mwandamizi wa Masoko,Joyce Mswia kwa pamoja wakiangalia moja ya kipepelushi.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano Mwanaidi Shemweta (kushoto) akiongoza maandamano.
Maofisa wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakiwa katika Maandamano.
Ofisa wa NIC (kushoto) akimuonesha kipepelushi mshiriki wa maandamano.
Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano Mwanaidi Shemweta (wa pili kushoto) akiongoza maandamano, Chalila Chibuda wa Mtandao.
Washiriki wa Maandamano wakiseti mitambo katika kompyuta kabla ya kuanza majadala.
Washiriki wa Maandamano wajasiriamali wa aina mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Maandamano.
No comments:
Post a Comment