KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Monday, March 2, 2015

Rais Kikwete aongoza kumuaga Marehemu Komba Karimjee.

 Rais Dk, Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma  wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Lituhi wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma.

.Rais Dk, Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji mjane wa marehemu Salome Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.(Picha na Freddy Maro)

No comments: