Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji
maveterani wa timu ya Barcelona walipomtembelea Ikulu jijini Dar es
Salaam.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wachezaji maveterani wa
timu ya Barcelona wakati walimpomtembelea Ikulu.
Mchezaji nyota wa Timu ya Barcelona Johann Cruyft akimkabidhi jezi Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (Picha na Freddy
Maro).
No comments:
Post a Comment