Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja kwa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Sehemu ya gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Sehemu ya gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Ndege ndogo ikipita juu ya Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akimlaki Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Mama akisaidiwa kwenda kupata huduma ya kwanza baada ya kuhemewa na gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Nyomi ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Utenzi ukisomwa kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Sehemu ya gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Sehemu ya gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Sehemu ya gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete, mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana wakiwa na furaha katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.

Kada mashuhuri wa CCM Visiwani Zanzibar Mzee Borafia akiongea katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Umati ukishangilia katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
CCM OYEEEEEE....anasema kada huyu katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akimpongeza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Mohamed Gharib Bilali baada ya kuhutubia katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume akihutubia kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Viongozi wakiwa jukwaa kuu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Wanahabari wakirekodi tukio hilo la kihistoria kw kila aina ya vifaa vya kisasa ikiwemo drone ya kupigia picha kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Msanii Diamond na kundi lake la Wasafi wakitumbuiza kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Msanii Diamond na kundi lake la Wasafi wakitumbuiza kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Ndg. Vuai Ali Vuai akisoma ratiba ya mkutano kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akihutubia umati kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiwa amehemewa kwa gharika ya watu kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akihutubia kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akisisitiza jambo wakati akihutubia kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akifafanua jambo wakati akihutubia kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Diamond na kundi lake wakitumbuiza kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Jukwaa kuu likifurahia onesho la Diamon na kundi lake wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akirejea tena mbele kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt Ali Mohamed Shein kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar .
Rais Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahmana Kinana wakijiandaa kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt Ali Mohamed Shein kwenye Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Msaada unatolewa kwa mama aliyepoteza fahamu kutokana na wingi wa wananchi wakati wa mkutano huo
Nyomi mkutanoni hapo
Rais Kikwete na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein wakionesha Ilani ya Uchaguzi ya CCM katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akihutubia gharika hiyo ya watu katika Uwanja wa Demokrasia wa Kibanda Maiti mjini Unguja na kumwaga vipeperushi wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Sehemu ya wananchi, wanaCCM na viongozi uwanjani hapo
Dua ikisomwa baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa Rais Kikwete wakipongezana kwa furaha baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Gharika ya watu ikiondoka kwa furaha na amani baada ya mkutano uliofana wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akiaga wakati akiondoka Unguja kurejea Dar es salaam baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akiaga wakati akiondoka Unguja kurejea Dar es salaam baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akimnyakua mtoto wakati akiondoka baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akimbeba mtoto huyo baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akipata picha na watoto baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akiaga baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akiagana kwa furaha na wananchi baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akiagana kwa furaha na wananchi baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Kikwete akiaga wakati akiondoka Unguja kurejea Dar es salaam baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
Rais Mstaafu Benjamin Mkapa akiagana na viongozi wa CCM wa Visiwani wakati akiondoka Unguja kurejea Dar es salaam baada ya kuunguruma katika uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar.
"....CCM JUU!" anasema Rais Mstaafu Benjamin Mkapa wakati akipanda ndege kuondoka baada ya kuhudhuria kuunguruma katika uzinduzi rasmi wa kampeni za chama hicho tawala za kugombea Urais wa Zanzibar (
PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment