RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais John Magufuli akizungumza na Kikao cha Baraza la
Mawaziri kilichofanyika Ikulu Dar es
Salaam jana. Kikao hicho pia kilihudhuriwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. (Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment