Rais John Magufuli akimpokea Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya
Kihindu Mwaminarayan Sanstha (BAPS) Duniani Mtukufu Mahant Swami Maharaj mara
baada ya kuwasili Ikulu Dar es Salaam.
Rais John Magufuli akizungumza jambo na Kiongozi huyo Mkuu wa
Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant Swami Maharaj mara
baada ya kuwasili Ikulu.
Rais John Magufuli akiombewa Dua na kiongozi huyo wa Jumuiya
ya Kihindu Duniani Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant Swami Maharaj
aliyeambatana na ujumbe wake.
Rais John Magufuli akimsindikiza mgeni wake kiongozi huyo Mkuu wa Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant Swami Maharaj.
Rais John Magufuli akizungumza na wanahabari mara baada ya
kumaliza mazungumzo yake na kiongozi huyo wa Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan
Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant Swami Maharaj Ikulu.
Rais John Magufuli akiagana na Kiongozi huyo Mkuu Duniani
kutoka Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha (BAPS) Mtukufu Mahant Swami
Maharaj.
Rais John Magufuli akiagana na Kiongozi huyo Mkuu Duniani
kutoka Jumuiya ya Kihindu Mwaminarayan Sanstha(BAPS) Mtukufu Mahant Swami
Maharaj Ikulu Dar es Salaam.(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment