Mkurugenzi
wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully
Mwambapa, akimuongoza mgeni rasmi Meya wa Kinondoni, Benjamini Sitta, katika hafla ya Benki ya CRDB kukabidhi msaada wa
madarasa matatu pamoja na madawati 45 kwa ajili ya wanafunzi wenye
uhitaji maalumu katika Shule ya Msingi Msasani iliyopo jijini Dar es
Salaam.
Muonekano wa jengo la kisasa lenye madarasa matatu yaliyojengwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya Wanafunzi wenye Uhitaji Maalum katika Shule ya Msingi Msasani.
Muonekano
wa jengo la kisasa lenye madarasa matatu yaliyojengwa na Benki ya CRDB
kwa ajili ya Wanafunzi wenye Uhitaji Maalum katika Shule ya Msingi
Msasani.
Wanafunzi wenye Uhitaji Maalum wakimsikiliza hotuba za viongozi wakati wa hafla hiyo.
Wanafunzi wenye Uhitaji Maalum wakimsikiliza hotuba za viongozi wakati wa hafla hiyo.
Wanafunzi wenye Uhitaji Maalum wakimsikiliza hotuba za viongozi wakati wa hafla hiyo.
Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Msasani wakiwa katika hafla hiyo.
Wanafunzi wenye Uhitaji Maalum wakimsikiliza hotuba za viongozi wakati wa hafla hiyo.
Kutoka kushoto ni Katibu wa Siasa, Uenezi Kata ya Msasani, Jane Mwambebule, Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Makangira, Suzana Msangi.
Wanafunzi wenye Uhitaji Maalum katika Shule ya Msingi Msasani wakiimba nyimbo wakati wa kumkaribisha mgeni rasmi Meya wa Kinondoni, Benjamini Sitta katika hafla ya kukabidhi madarasa matatu pamoja na viti 45.
Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Msasani, Edward Mollel, akitoa hotuba yake.
Wanafunzi wakionyesha furaha yao baada ya kukabidhiwa jengo la madarasa matatu pamoja na viti 45.
Mkurugenzi
wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully
Mwambapa, akizungumza katika hafla ya Benki ya CRDB kukabidhi msaada wa
madarasa matatu pamoja na madawati 45 kwa ajili ya wanafunzi wenye
uhitaji maalumu katika Shule ya Msingi Msasani iliyopo jijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Meya wa Kinondoni Benjamini Sitta.
Meya
wa Kinondoni, Benjamini Sitta, akitoa hotuba yake wakati wa hafla ya
makabidhiano ya jengo la madarasa matatu kwa ajili ya wanafunzi wenye
uhitaji maalum.
Mkurugenzi
wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully
Mwambapa, akimpongeza mgeni rasmi baada ya kutoka hotuba yake.
Mgeni rasmi akielekea katika uzinduzi wa jengo la madarasa matatu.
Mgeni rasmi Meya wa Kinondoni, Benjamini Sitta (katikati), akikata utepe kuashiri uzinduzi wa jengo la madarasa matatu lililojengwa kwa msaada na Benki ya CRDB kwa ajili ya Wanafunzi wenye Uhitaji Maaulum katika Shule ya Msingi Msasani.
Meya wa Kinondoni, Benjamini Sitta pamoja na Mkurugenzi wa Masoko Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, wakionyesha furaha yao sambamba na wanafunzi wa Shule ya Msingi Msasani baada ya kuzindua jengo la madarasa matatu.
Tully Mwambapa, akimshukuru Meya wa Kinondoni, Benjamini Sitta, baada ya kuzindua rasmi jengo la madarasa matatu.
Meya wa Kinondoni akipata maelezo kutoka kwa Tully Mwambapa.
Tully Mwambapa (katikati), akionyesha furaha yake pamoja na wanafunzi
wenye Uhitaji Maalum. Kulia ni Meya wa Kinondoni, Benjamini Sitta.
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB,
Tully Mwambapa (kushoto), akimuonyesha Meya wa Kinondoni, Benjamini Sitta, moja ya ya chumba cha darasa lililojengwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya wanafunzi
wenye Uhitaji Maalum.
Meya wa Kinondoni, Benjamini Sitta (kulia), Mkurugenzi wa Masoko, Utafikti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Bi. Tully Mwambapa, Ofisa Elimu Taaluma Manispaa ya Kinondoni, Bi. Shida Kiaramba wakiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wenye Uhitaji Maalum.
Picha ya pamoja.
Mwalimu wa Wanafunzi wenye Uhitaji Maalum akiwa darasani.
Picha ya pamoja.
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akikumbatiana na wanafunzi baada kupiga picha ya pamoja.
Wanafunzi wakionyesha furaha yao.
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto), akiagana na Katibu wa Wazazi Kata ya Msasani, Maria Mtweve.Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kushoto), akiagana na Katibu wa Siasa, Uenezi Kata ya Msasani, Jane Mwambebule.
Meya wa Kinondoni, Benjamini Sitta, akiagana na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Makangira, Suzana Msangi.
No comments:
Post a Comment