Sehemu ilipofanyika sherehe za uzinguzi wa ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.
Rais John Magufuli na viongozi wengine wakipata maelezo ya jinsi kazi ya kujenga ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.
Sehemu ya ukuta wa kilomita 24. 5 uliojengwa kuzunguka migodi ya Tanzanite eneo la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara
Sehemu ya ukuta wa kilomita 24. 5 uliojengwa kuzunguka migodi ya Tanzanite eneo la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara
Rais John Magufuli akiwasili katika sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite.
Askari wa JKT walipkuwa kazini kujenga ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eneo la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara
Rais John Magufuli akipokea taarifa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite.
Rais John Magufuli akipokea mfano wa funguo kutoka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husssein Mwinyi wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani.
Rais John Magufuli akiwa na hati ya kukabidhiwa ukuta aliyopokea toka kwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husssein Mwinyi wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.
Rais John Magufuli akihutubia wananchi wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.
Rais John Magufuli akihutubia wananchi wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.
Rais John Magufuli akimsaidia mgunduzi wa madini ya Tanzanite Mzee Jumanne Ngoma kuketi kitini wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.
Rais John Magufuli akikabidhi gari la wagonjwa kwa uongozi wa serikali ya Wilaya ya Simanjiro wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.

Rais John Magufuli baada ya kukabidhi gari la wagonjwa kwa uongozi wa serikali ya Wilaya ya Simanjiro wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.
Rais John Magufuli na viongozi wenginme wakimsikiliza Mzee Jumanne Ngoma akitoa shukurani zake kwa kutambuliwa na serikali na kupewa shilingi milioni 1000 na Rais kama ahsante yake wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirerani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara.
Rais John Magufuli na viongozi wenginme wakimsikiliza Mzee Jumanne Ngoma akitoa shukurani zake kwa kutambuliwa na serikali na kupewa shilingi milioni 1000 na Rais kama ahsante yake wakati wa sherehe za kuzindua rasmi ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite eno la Mirelani wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara. Kushoto ni Hassan na Asha Ngoma, watoto wa mzee huyo.
No comments:
Post a Comment