BENKI YA EXIM YAMPONGEZA MSHINDI WA MISS EAST AFRICA.
Mkurugenzi
mtendaji wa Benki ya Exim ya Tanzania Bw. Anthony Grant (kushoto) akimpongeza
mshindi wa mashindano ya ulimbwende ya Miss East Africa 2012 Jocelyne Maro,
(katikati) ambaye ni mshiriki kutoka Tanzania, mara tu baada ya kuvishwa taji la ushindi
baada ya kuwabwaga warembo 15 waliofika fainali kutoka nchi mbali mbali.
Fainali hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki Dar es Salaam. Kulia ni mmoja wa majaji wa mashindano hayo, Bi Ayan
Ahmed.
No comments:
Post a Comment