KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Sunday, December 23, 2012

UZEMBE,MWENDO WA KASI WASABABISHA GARI KUANGUKA.



Wananchi wakiangalia Gari la mizigo likiwa na shehena ya mahindi kutoka Mkoani Dodoma limeanguka kwenye barabara ya Kilwa eneo la Mtoni kwa Aziz Alli Dar es salaam jana kwa madai ya kulikwepa gari dogo katika mzunguko.

Wananchi wakiangalia Gari la mizigo likiwa na shehena ya mahindi kutoka Mkoani Dodoma limeanguka kwenye barabara ya Kilwa eneo la Mtoni kwa Aziz Alli Dar es salaam jana kwa madai ya kulikwepa gari dogo katika mzunguko.(TANZANIA LIVE BLOG).

No comments: