KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Tuesday, January 29, 2013

BUNGE DODOMA LAANZA KAZI.

 Baadhi ya wabunge wakipongeza baada ya kuahirishwa kwa kikao.
 Baadhi ya wabunge wakifuatilia mjadala.
 Spika wa Bunge Anne Makinda akiwaeleza wabunge kuhusu kuundwa kwa kamati maalumu kwa ajili ya kwenda Mkoani Mtwara kusikiliza matatizo yaliyopo.
 Mbunge wa Vunjo Augustino Mrema (kulia) na Mbunge wa kuteuliwa (NCCR- Mageuzi) James Mbatia wakifuatilia maswali na majibu.
 Mbunge wa Monduli Edward Lowassa (kulia) akimsikilza mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo.
 Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Taknolojia January Makamba akijibu hoja Bungeni.

Na Mwanakombo Mbwana Omari Jumaa
Principal Information Oficcer
Tanzania Information Services.

No comments: