KWA MAWASILIANO ZAIDI: E-mail: yusuf.badi2@gmail.com.

NSSF

TANGAZO

Friday, February 22, 2013

WIMBI LA MAUAJI NA VITENDO VYA UKATILI DHIDI YA WATU WENYE ALBINISM.

 Mkurugenzi Mtendaji wa UNDER THE SAME SUN,Vicky Ntetema (kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) Dar es Salaam.kuhusu mateso wanayoyapata maalbino nchini.
 Waandishi wakiangalia picha na kupiga za mauaji na mateso ya maalbino hivi karibuni
 Meneja Uendeshaji wa UNDER THE SAME SUN,Gamariel Mboya (kushoto) akisoma taarifa kwa waandishi.
 Mkurugenzi Mtendaji wa UNDER THE SAME SUN,Vicky Ntetema (kulia) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) Dar es Salaam.

Meneja Uendeshaji wa UNDER THE SAME SUN,Gamariel Mboya (kushoto) akisoma taarifa kwa waandishi.

No comments: